BISMLLAH RAHMAN
RAHIM
AL JAMAATUL
MUSLIMINA L AQSWAA
TANGAZO TOKA IDARA
YA UCHUMI
KUTOKANA
NA KIKAO CHA WANA JUMUIYA WOTE CHA TAREHE
24/08/2015 ,NAMBO YA FUATAYO
YALIJADILIWA NA KUPITISHWA NA WANAJUMUIYA WOTE. AMBAPO YALIKUWA KUWA NA SEHEMU
A NA B
A.NAMNA
NA KANUNI ZA UCHANGIAJI WA MICHANGO
YA JUMUIYA
B.USAJILI MPYA WA WANAJUMUIYA
SEHEMU
.A
1.ADA YA JUMUIYA : mwanajumuiya anatakiwa
alipe ada miezi mitatu ya mwanzo shilingi 15000 na baadaye shilingi 5000 kwa
kila mwezi mpaka kutimiza kile kiwango kilichowekwa cha shilingi 50000 kwa mwaka.
2.NJIA ZA UCHANGIAJI MICHANGO YA ADA YA JUMUIYA .
Mwanajumuiya anaweza kuchangia ada kupitia mkono kwa
mkono (CASH) au kupitia mitandao ya simu ambayo ni :
1.AIRTEL MONEY…….0686-386925
2.TIGO PESA…………….0655-538938
3.MPESA…………………0757-475535
{majina ya
akaunti zote ni seif Mketo}
NB.Ada ya jumuiya ikitumwa kupitia
mitandao ya simu ya jumuiya basi taarifa
apewe MCHUMI kati ya :
1.SEIF MKETHO…………0682-659701
2.SALUM DAAWA………..0657-117908
3.TAREHE RASMI YA KUANZA KUCHANGIA MICHANGO HIYO
YA ADA YA JUMUIYA
Tarehe ni 01/10/2015 kwani ndiyo wakati ambao watu
wengi huwa na uwezo ya kipesa hivyo basi ni vyema kuchangia michango hiyo
haraka baada ya kupata pesa hizo ambapo
mtu anaruhusiwa kuchangia hata ada yote ya mwaka kama anauwezo huo. Vilevile
tar iliyotajwa hapo juu ndiyo mwanza wa kuhesabiwa michango ya ada hata kwa
wale walio kwishatoa mwanzoni.
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na mmoja kati
ya wachumi waliotajwa hapo juu ikiwa kuna kipengele kinautata au hakijafahamika
vizuri .
SEHEMU.
B
-Wanajumuiya waliona kuwa kuna haja ya kufanya tena
usajili kwa mara yingine tena ilia kuwapata wanajumuiya wataokuwa tayari
kuungana pamoja ili kuhakikisha malengo ya jumuiya yana fikiwa .lengo kuu hapa
ni kupata( active members )
Hivyo basi kama ushazipitia na kukubaliana sifa anazotakiwa kuwanazo mwanajumuya ambazo
zinapatikana katika e-mail ya jumuiya (jumuiyayetu11@gmail.com)
password yetu ni BUKHAR111.Basi unaweza
kuthibitisha uwepo wako kwa kuandika jina lako kamili au jina maarufu, na
kuandika neno NDIYO au HAPANA. Au ujumbe mfupi (sms) kwenye no hizi ;
0659-320365 au
0782-477319(Katibu mkuu wa jumuiya SULEIMANI
JUMA).
Tangazo hili limetolea na idara ya uchumi
Wabilah tawfiq.