BISMILLAH
RAHMANI RAHIM
JAMAATUL MUSLIMIN AL AQSWAA
KALENDA
YA MWAKA YA JUMUIYA
.
1.Wanajumuiya
lazima wakutane mara moja (1) kwa mwaka
yaani katika likizo ya mafunzo kwa vitendo( Field)
2.viongozi
watakutana mara moja (1) kwa mwaka siku mojsa kabla ya kukutana na wanajumuiya
wote.
3.viongozi
watakutana kuzungumza maswala mbalimbali ya kiutendaji kila baada ya miezi
miwili (2)
4.wanajummuiya
ni lazima kuangalia taarifa mpya za jumuiya kila baada ya swala ya ijumaa ili
kujua nini kimejiri ndani ya jumuiya .
5.wanajumuiya
waliokaribu karibu watakutana kila baada
ya miezi mwili .
SIFA
ZA MWANAJUMUIYA
1.Awe
muislamu ambaye yuko tayari kutimiza malengo yote ya jumuiya
2.Awe na
maadilid ya kiislamu na asiwe mfanya makoasa ya dhahiri
3.Awe
tayari kusoma dini kadri ya uwezo wake
4.Mwanajumuiya
anatakiwa alipe ada ya jumuiya ndani ya miezi mitatu(3) vinginevyo atakuwa
amejitoa uwanajumuiya
5.mwanajumuiya
anaweza kukopa katika jumuiya ila kwa kufuata
na kuzingatia vigezo na masharti ya mkopo huo
6.Mwanajumuiya
ni lazima ashiriki vikao na shughuli zote zinazohusiana na jumuiya
7.Mwanajumuiya
awe tayari kutii viongozi
8.Mwanajumuiya
ana uhuru wa kutoka (kujivua uwanajumuiya) kama ataona hakuna umuhimu wa kubaki
kama mwanajumuiya
WABILLAH
TAWFIQ.
No comments:
Post a Comment