Taarifa ya kufunguliwa kwa akaunti za jumuiya kwa ajili ya michango yetu ya kila mwezi pamoja na mchango mingineyo
>>TIGO PESA - 0665538938
>>AIRTEL MONEY- 0686386925
>>M-PESA-0757475537
..........Jina la akaunti zote SEIF MOH'D MKETO..............
Pages
▼
Tuesday, 2 June 2015
TAARIFA FUPI YA JUMUIYA
3. MAJINA YA VIONGOZI
1. AMIRI …………………………………………………………..MWAPASHUA
FUJO
2.KATIBU MKUU………………………………………………….SELEMANI
JUMA MZEE
3.NAIBU KATIBU MKUU……………………………………….ABDALLAH
SAIDI CHABAI
4AMIRI.ID………………………………………………………SEIF
MOHAMEDI MKETO
5.KATIBU IDARA YA FEDHA.………………………………….SALUMU
SEIF SHABANI
6.AMIRI IDARA YA
HABARI……………………………….SHABANI MZENGA
4. E-MAIL YA
JUMUIYA
1. Jumuiyayetu11@gmail.com (neno la siri ni BUKHAR11).Hii ni kwa matumizi ya wanajumuiya wote ,kwa ajili
ya maswala yanayohusu jumuiya tu, kama vile taarifa mbalimbali , maoni, ushauri
pamoja na uwasilishaji wa mada mbalimbali zinazohusu dini yetu .
5. UENDESHAJI WA
JUMUIYA.
Uendeshaji wa jumuiya utategemea sana michangao ya
wanjumuiya katika kuendesha shughuli zake mpaka pale tutakapo jaaliwa
rasmi kuanzisha miradi au biashara itakyobuniwa kwa ajilai ya kuendesha
jumuiya yetu .
Hivyo pendekezo lililotolewa katika kuchangia jumuiya kwa
kila mwezi ni kiasi cha shilingi 4125/=,kiasi
ambacho ni sawa na shilingi 50000/=
kwa mwaka mzima ,ambayo itatumika katika shughuli mbalimbali za kuendesha
jumuiya yetu.
6. MALENGO YA
JUMUIYA HII
Jumuiya yetu ina malengo ya muda mrefu na malengo ya muda
mfupi naya ni kama yafuatayo:-
(i)KUWAHUDUMIA
MAYATIMA
Lengo kuu hapa ni kuwasaidi matima katika maswala yanato
husu elimu ,chakula pamoja namalezi kwa ujumla ( maadili ya kiislamu) kadri
ALLAH SW atakapo tuwezesha ,ili baadaye nao wautumikie uislamu.
ii) KUTOA MSAADA
KWA JAMII
Jamii inatakiwa kusaidiwa kwa hali na mali ,hivyo sisi kama
waislamu tunajukumu la kusaidia jamii ya kiislamu ingawa na sisi ni wahitaji wa
hayo tunayoyatoa kwa wenzetu na wala sisi si matajiri au watu wenye kipato
kikubwa .
iii) KUWAANDAA
VIJANA KABLA HAWAJAFIKA VYUONI
Ni jukumu la kila muislamu ,kama ni mwalimu ,daktari ,fundi
,mwanahabari ,aumfanya biashara .K ujitahidi kuwaandaa vijana wa kislamu katika
shule mbalimbali ,madrasa zetu magerezani pia na hata katika mitaa yetu ili
waweze kijitambua kwaajili ya kuutumikia aislamu
iv).KUTAFUTA ARDHI
KWA AJILI YA MATUMIZI YA JUMUIYA
Ardhi ni jambo muhimu kwa ulimwengu wa hivi leo kwasababu
shughuli nyingi hutegemea ardhi ,kama vile kilimo,biashara ,vituo vya yatima,
kujenga misikiti, shule pamoja na kuendesha miradi mbalimbali ya jumuiya.hivyo
basi ni jukumu letu kutafuta ardhi kwa shughuli hizo.
B.KWETU WENYEWE
V) KUFAHAMIANA NA
KUJUWANA
Tunatakiwa kufahamian na kutambuana nje na ndani ili kuweza
kusaidina katika hali na mali katika majambo mbalimbali na sio siku za harusi
tu .vile vile kukutana wajumbe wote lau kwa mwaka mara moja ili kuongeza mahaba
na kujadilia mambo yetu kwa pamoja .
VI) KUFAHAMU DINI YETU
Hii hususani inahusu elimu kwa sisi wenyewe tusome na
kufanyia kazi yake tunayoyasoma ,kwa maana hiyo tujiwekee utaratibu wa kuuandaa
mada mbalimbali zinazohusu dini na kuziwasilisha kwa manajumuiya kupitia e-mail
ya jumuiya kwa madhumuni ya kupata walau elimu itakayotufaa katika maisha ya
hapa duniani na kesho akhera
VII) KUTEKELEZA
A’MALI MBALIMBALI KWA AJILI YA ALLAH
Tuwe na mipango ya kupaga kila muda kuongeza utekelezaji wa a’amali
kwa ajili ya akhera yetu na dunia yrtu .Kama vile tujiwekee mipango ya muda
mfupi na muda mrefu kama vile swala za usiku ,kumdhukuru Allah ,na kumswalia
Mtume (s. a.w) ,amoja na kufanya istighifari na kujiweka mbali na kufanya
maasi. Vilevile kuweka mikalati yamuda mrefu kama vile kwenda hija pale Allah sw akituwezesha .
VII) HITIMISHO.
mlango wa maoni yako wewe mjumbe wa jumuiya yetu haujafungwa hivya basi onaombwa
utoe maoini yako kwa ajilia ya ya kujenga na kuendeleza jumuiya yetu , hivyo ni
jukum la kila mtu kutoa maoni yake mwanzo wa
taarifa. Ni vyema tushirikiane kwa pamoja kwasababu jumuiya hii si ya
watu Fulani bali ni ya wanajumuiya
wote ni lazima mawazo ya mtu
yaheshimiwe na kama yatakubalika ni
lazima yafanyiwe kazi kwa maendeleo ya jumuiya. Inshaallah sw atulipe kila la
kheri . na atujaalie tuwe wnye kutekeleza na kuyasimamia yale tuliyoyakusudia
kuyafanya kwa uwezo wake Allah sw.
WABILLAH TAWFIQ.
For more contacts visit:-
http://www.jumuiyayetu.blogspot.com